holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 #1 Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
Bishop Hiluka JF-Expert Member Aug 12, 2011 7,147 14,699 Jun 15, 2017 #3 holy holm said: Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake? Click to expand... Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu...
holy holm said: Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake? Click to expand... Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu...
holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 Thread starter #4 Hans Miki said: Baada ya kula tu Click to expand... hapo unakuta pozi halipo
holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 Thread starter #5 Bishop Hiluka said: Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu... Click to expand... mrejesho muhimu mkuu
Bishop Hiluka said: Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu... Click to expand... mrejesho muhimu mkuu
holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 Thread starter #6 Perfectz said: KWANINI ULE KWA JIRANI??!!!! Click to expand... inatokea tu Mkuu
holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 Thread starter #7 Hans Miki said: Unajitia ukauzu tu, kwanini ujitese wakati kweli ulienda kula! Click to expand... kauzu zaidi ya dagaa
Hans Miki said: Unajitia ukauzu tu, kwanini ujitese wakati kweli ulienda kula! Click to expand... kauzu zaidi ya dagaa
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,589 Jun 15, 2017 #8 Hahaha nakaaga kama nusu saa napiga story za uongo na kweli then ndukiiiii
holy holm JF-Expert Member May 6, 2017 4,792 9,079 Jun 15, 2017 Thread starter #9 Joseverest said: Hahaha nakaaga kama nusu saa napiga story za uongo na kweli then ndukiiiii Click to expand... kama nakuona vile
Joseverest said: Hahaha nakaaga kama nusu saa napiga story za uongo na kweli then ndukiiiii Click to expand... kama nakuona vile
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,589 Jun 15, 2017 #10 kweli holy holm said: kama nakuona vile Click to expand...