Msaada please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada please

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Enny, Mar 23, 2011.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba ushauri wenu. Kutokana na mvua za jana ukuta wa nyumba yangu umeangukia kupande wa jirani na kuharibu tenki la maji. sasa nasikia ameenda kushitaki serikali za mitaa.
  Je kesi kama hii inakuwaje?
   
 2. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hakukuwa na sababu ya kesi kama wewe ungeonesha ushirikiano. Kibinadamu ulitakiwa asubuhi uende kwa huyo jirani kwanza umpe pole na halafu mzungumzie huo uharibifu uliofanyika. Hatahivyo utaitwa hapo serikalini na kuambiwa ulipe tu, jiandae.
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Hii ipeleke jukwaa la sheria kule utapata ushauuri kutoka kwa wataalam wa sheria waliobobea. :lol:
   
Loading...