Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari wanajamvi
Nilikuwa naomba nijulishwe joto la binadamu or average human body temperature ina range kuanzia ngapi hadi ngapi.Nina mafua kwa wiki sasa leo nimejipima temperature yangu imefikia 37.4C degree na hali ya Kilimanjaro leo hata jua hatulionio na full baridi nahisi kama kiwango cha juu sana cha joto hiko.Nawasilisha