1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.
Pole sana mpenzi mbaya sana hiyo jamani, bahati mbaya mimi sio mwanaume nashindwa hata cha kukushauri hope wakiamka walengwa utapata msaada
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.
Unakuwa unahofu nini mkuu, huna ndoa? Unaogopa ngoma?
Jaribu Kunywa Bia angalau nne kabla ya kuanza majambo
Kwa hiyo unataka ushauri jinsi ya kukabiliana na hili swala la kufanya matusi?
Lakini je umeoa mkuu? Isije ikawa hujaoa ndo unajifunza kufanya matusi
kama anafanana hivi hata tukushaurije ur finished