Msaada please wadau wa teknolojia

Msaada please wadau wa teknolojia

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
3,290
Reaction score
3,946
Laptop yangu Dell inspiron 1545 imepata tatizo la kutokuchaji battery,nikiconnect charger naambiwa Charger connected,battery not charging, naomba msaada wa tatizo hili.natanguliza shukrani.
 
Laptop yangu Dell inspiron 1545 imepata tatizo la kutokuchaji battery,nikiconnect charger naambiwa Charger connected,battery not charging, naomba msaada wa tatizo hili.natanguliza shukrani.
Pole,jaribu kuisupport ukiwa umeichomeka uone kama inaweza kucharge labda kuna loose connection.Option nyingine tafuta mtu mwenye laptop kama yako,tumia charger yake uone je inacharge au utapata message hiyo hiyo.Pia angalia adapter yako hakuna sehemu waya umechubuka au kukatika,kama unaweza piga picha ya adapter weka hapa.Inawezekana kuna waya umelika au umekatika.Toa feedback ili tujue nini kinaendelea.
 
Laptop yangu Dell inspiron 1545 imepata tatizo la kutokuchaji battery,nikiconnect charger naambiwa Charger connected,battery not charging, naomba msaada wa tatizo hili.natanguliza shukrani.

Zima laptop disconnect battery na adapter afu hold power button kama 30secs ukiwa hujachomeka batery wala charger baada ya hapo rudisha battery na adapter uwashe uone kama bado jaribu ku unstall na kureinstall batter driver
 
Ukiona hivyo tambua battery ime expire chaji yake lazima iwe direct Kama ukichomoa chaja itazimika. Jaribu kubadilisha battery kama tatizo bado angalia voltage DC ya chaji na laptop kama zinaendana.
 
Electronic technology help.

Kama unatatizo na maswala ya kompyuta upande wa hardware au software, key za software Au chochote kinachohusiana na kompyuta, simu za Android, iPhone na apple. Nitumie email kupitia mimitena90@gmail.com hakika utapata msaada.

Kamata fursa twenzetu.
 
Laptop yangu Dell inspiron 1545 imepata tatizo la kutokuchaji battery,nikiconnect charger naambiwa Charger connected,battery not charging, naomba msaada wa tatizo hili.natanguliza shukrani.

hapo tatizo ni adapter fanya mpango wa kubadili.., ilishawahi nitokea nikahangaika weee lakini nikagundua adapter ndo lilikua tatizo
 
Back
Top Bottom