Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
habari! naamini kuwa wote ni wazima wa afya leo nilikuwa naomba kujuzwa hii programme inahusiana na nini je kazi yake hasa kama nikisomea nitaajiriwa maeneo gani pia kama nani???hii kozi nimeipata baada ya ushauri. wenu kuwa kuna kozi za ualimu ni nzur kwa sasa katika soko letu la ajira hapa nchini.kozi yenyewe ni bacheloe of education in administratio and managment please msaada kwenu nauhitaji kwa sasa zimebakia siku 3.