Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kweli mkuu jana nilipita mahali nikaona kitenesi nikakumbuka miaka mingi sana nikasema kweli mambo yamebadilika maana hata kuoma watoto wanchezea kitenesi ni nadra sana
Tatizo wenye pesa zao na nchi yao wameuza kama siyo kubinafsisha viwanja vya michezo.