Msaada Please: Nipo nje ya nchi

Msaada Please: Nipo nje ya nchi

Banchikicha........vum vum........macheura........tikri......rede.......mdako.......baishoo.......esta esta.......

Niendelee..........?....

Kujipikilisha......mchezo wa baba na mama..........mamba kwenye maji ..........ringi. ......kuruka kamba....gololi.
 
Kujificha,Nina ndoo yangu ah , ya kuteka maji ah , maji yabarafu..Watoto wangu eh , eh, mimi mama yenu.......

Eh, sina nguvu tena eh, za kuuwa simba eh, simba ni ......
 
Basi tugawane na mapato maana inawezekana umepata kazi ya kucheza na watoto wa kizungu. Au unafanya research ya child care!?
Kuwa muwazi mkuu tukusaidie
 
Kwani watoto wa hapo Kenya wamechoka kuangalia katuni za akina ben10, jimjam, nickelodeon, tom & jerry, pop, scoby dog?
 
Eh, sina nguvu tena eh, za kuuwa simba eh, simba ni ......

Siku hizi nyimbo hizi hauzisikii tena maana KIZAZI hiki wako busy na iphone,ipad,TV nk...............
 
Tatizo lako upo nje ya nchi lakini mvivu GUGO by typing michezo ya kitoto Tanzania utaiona kibao.
Hahaha eti umesahau basi ndio ugugo.
 
Siku hizi nyimbo hizi hauzisikii tena maana KIZAZI hiki wako busy na iphone,ipad,TV nk...............

Mimi mwanangu wa pili ana miaka 5 lakini anafahamu kuitumia smartphone yangu kuliko hata mimi. Imenibidi kudown load folder la KEEP SAFE nahifadhi vitu vyangu humo isiwe tabu.
 
Siku hizi nyimbo hizi hauzisikii tena maana KIZAZI hiki wako busy na iphone,ipad,TV nk...............

Kweli mkuu jana nilipita mahali nikaona kitenesi nikakumbuka miaka mingi sana nikasema kweli mambo yamebadilika maana hata kuoma watoto wanchezea kitenesi ni nadra sana
 
Wasalaam JF

Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.

Kwahiyo unataka kupiga pesa kwa kupitia migongo yetu...toa10%mkuu eboh...ukitangaza dau sasahivi..kesho utapata recorded video..swaaafii...
 
Mimi mwanangu wa pili ana miaka 5 lakini anafahamu kuitumia smartphone yangu kuliko hata mimi. Imenibidi kudown load folder la KEEP SAFE nahifadhi vitu vyangu humo isiwe tabu.

Jitahidi kumzuia kwani mionzinya hizi simu siyo nzuru sana kwa watoto especially kutumua ear phone zinaharibu masikio na mtoto anaweza hata akawa kiziwi.
 
Back
Top Bottom