Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,593
- 25,714
Mama yangu! Mkuu, kama gari haijafanyiwa inspection utatakiwa kulimwa fine ya 30% ya CIF ya gari. Cha kufanya pale gari itakapo ingia, ongea na agent wako aweze kupenyeza rupia (kuhonga) ili gari ipite bila inspection. Yani hapo andaa kati ya laki tano hadi saba hivi. Zamani tulikuwaga tunapenyeza (tunahonga) laki mbili na nusu ila serikali ilipozidisha ukali tukawa tunahonga hadi laki tano na zaidi. Niliwahi kuleta gari bila inspection nikatakiwa nihonge milioni moja, nikawabembeleza weee nikaishia kukata kama laki tano hivi...Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
Kweli ndugu,kwa punguzo la 4000usd! lazima Passo kiulainiiiiiTofauti ya 4000usd? Daah ngoja nianze kuchungulia naweza kupata passo kwa 50 usd
Mkuu usimtishe mwenzio!!!penalty in apply kama umeagiza gari sehemu ambayo wao Tbs wana wakala na hukutaka kukagua huko, lakini kuna nchi Tbs hawana wakala mf nchi nyingibza scandinavia, hapo utaratibu ni kuwa unaandika barua tbs na kuelezea then wao wanakupa utaratibu wa kwenda Nit kulikagua huko, kwa gharama elekezi na si penalty.Mama yangu! Mkuu, kama gari haijafanyiwa inspection utatakiwa kulimwa fine ya 30% ya CIF ya gari. Cha kufanya pale gari itakapo ingia, ongea na agent wako aweze kupenyeza rupia (kuhonga) ili gari ipite bila inspection. Yani hapo andaa kati ya laki tano hadi saba hivi. Zamani tulikuwaga tunapenyeza (tunahonga) laki mbili na nusu ila serikali ilipozidisha ukali tukawa tunahonga hadi laki tano na zaidi. Niliwahi kuleta gari bila inspection nikatakiwa nihonge milioni moja, nikawabembeleza weee nikaishia kukata kama laki tano hivi...
Waswahili wanasema, kwenye udhia penyeza Rupia~ Samaia (ufunguzi wa Mloganzila)
asante Kwa ufafanuzi mzuri mkuu .Mkuu usimtishe mwenzio!!!penalty in apply kama umeagiza gari sehemu ambayo wao Tbs wana wakala na hukutaka kukagua huko, lakini kuna nchi Tbs hawana wakala mf nchi nyingibza scandinavia, hapo utaratibu ni kuwa unaandika barua tbs na kuelezea then wao wanakupa utaratibu wa kwenda Nit kulikagua huko, kwa gharama elekezi na si penalty.
Iliwahi kunikuta mimi mwaka juzi niliagiza gari kutoka denmark , nikatumia njia hiyo na kufanikiwa
Ukiacha Japan, UK, Dubai na HongKong, hawa Singapore ni among exporters wakubwa wa magari (ukiacha na bidhaa zingine) to Tanzania.
mkuu kizuri kula na nduguzo, kama sisi tulivyokusaidia nawe tusaidie kutueleza namna ulivyonunua huko.asante Kwa ufafanuzi mzuri mkuu .
Ubarikiwe sana sana ,Singapore hawana Wakala wa TBS, NA NDIO LEO NIMEPATA BL AND INVOICE MKUU .
We shughulikia mambo ya kodi natozo zinazohusika, barua utakayowaandikia Tbs itafanya wao wakupe release ya kutoa gari bandarini, ila halitasajiliwa mpaka Nit walikague na kulithibitisha,asante Kwa ufafanuzi mzuri mkuu .
Ubarikiwe sana sana ,Singapore hawana Wakala wa TBS, NA NDIO LEO NIMEPATA BL AND INVOICE MKUU .
Thanks very much broo ,tayari nimeshatuma Documents zote Kwa Ajent wangu.We shughulikia mambo ya kodi natozo zinazohusika, barua utakayowaandikia Tbs itafanya wao wakupe release ya kutoa gari bandarini, ila halitasajiliwa mpaka Nit walikague na kulithibitisha,
mkuu kizuri kula na nduguzo, kama sisi tulivyokusaidia nawe tusaidie kutueleza namna ulivyonunua huko.
Au kapewa bure? Gari ya Japan unaiagizia Singapore, why?Why Singapore?? Au uliamua tu kuwa tofauti na watanzania wenzako?..
Asante kwa taarifa!Mkuu usimtishe mwenzio!!!penalty in apply kama umeagiza gari sehemu ambayo wao Tbs wana wakala na hukutaka kukagua huko, lakini kuna nchi Tbs hawana wakala mf nchi nyingibza scandinavia, hapo utaratibu ni kuwa unaandika barua tbs na kuelezea then wao wanakupa utaratibu wa kwenda Nit kulikagua huko, kwa gharama elekezi na si penalty.
Iliwahi kunikuta mimi mwaka juzi niliagiza gari kutoka denmark , nikatumia njia hiyo na kufanikiwa
Francis, inawezekana kabisa. Singapore wananunua magari mapya kutoka japan. Kule ukiwa na gari, wewe ni tajiri kwa sababu gharama za maegesho na leseni ni balaa.Au kapewa bure? Gari ya Japan unaiagizia Singapore, why?
Pole Mkuu wangu,singapore.net ni wahun, wanapaka rangi magari wanapiga picha inang'aa rogwa uagizie, naongea kwa uzoefu nmeagizia harrier 2 zote zimekuja na defects kibao.
Pole Mkuu wangu,
Uhuni wao unachagizwa na fact kwamba Nchi kama Nchi hatuna Mkaguzi kule, tofauti na ilivyo japan tuna JAAI, EAA, etc
Saju b, nadhani pia kwa sababu wahindi wameloea sana Singapore. Wahindi wengi hufanya biashara bila regard ya quality na hasa biashara za mitandao.singapore.net ni wahun, wanapaka rangi magari wanapiga picha inang'aa rogwa uagizie, naongea kwa uzoefu nmeagizia harrier 2 zote zimekuja na defects kibao.