Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ndiyo hivyo wazee,
Kuna jamaa yangu ameniuliza nimeshindwa kumjibu. Ana korodani ndogo sana kwa size ingawa ameoa na ana watoto wawili. Tunapokwenda beach kuwa anajisikia hata aibu kubaki na nguo ya ndani kwani ni kama hamna kitu ndani tofauti na sisi wenzie tuliofungasha mizigo. Au jamaa 'kapiga' sana game kiadi cha kupungua mzigo ambao ndiyo kiwanda cha shahawa?