Msaada please. kati ya hizi tv mbili ,tlc na evvoli

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,762
Hello Wana GT. Naombeni ushauri wenu ,
Nahitaji kununua smart TV ,4k Ni ipi kati ya hizi mbili nichukue ipi please. TLC NA EVVOLI ,55"ASANTENI MUWE NA SIKU NJEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Situmii hizi tv mkuubila nika google kujionea,resuot imekuja website yao hao evvoli.com

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni kuwa hizo za kwenye website zitakutia wazimu tu maana hutazikuta hapo kariakoo mpaka ipite miaka 3 mbele ndio watajifanya kuzileta mda huo zishakuwa outdated! Hii ni kwa uzoefu wangu wa manunuzi bidhaa za electronics kibongo bongo!
 
unashauri kati ya hisense 40 inch full hd led na tcl 40 inch full hd led nichukue ipi kati ya hizo kaka
 
Back
Top Bottom