Msaada please. kati ya hizi tv mbili ,tlc na evvoli

Msaada please. kati ya hizi tv mbili ,tlc na evvoli

Hizi tv ni kama tekno na jamaa zake

Nili mnunulia maza wangu TLC nchi 52 ikadunda mwaka mmoja tu
Mara ikaanza kuwa ina zima tu
Fundi akaitengeneza baada ya wiki ikarudia tena
Nikabadili fundi mara ikakata rangi nusu fresh nisu black and white...... yaani nishida
 
Back
Top Bottom