hebu tuwekee hapa some specs za ASUS
Nenda ASUS au tablet yoyote inayotumia android ,I pad inafaa kwa walio majuu,kwani apps zake nyingi ni za kununua ilihali android ni buuure,hata simu zitumiazo android ndio naona zinachukua chat kwa hapa bongo kwani zina vikorombwezo vingi ambavyo hupata bure tofauti na hizo Iphone,haya ni maoni yangu
iPad 3 ni nzuri mkubwa, ndio maana iPad zinatumiwa sehemu nyingi ikiwemo maofisini, kwenye mikutano, vyombo vya habari na hata bungeni hiyo yote kwasababu ya uwezo wake na stability & reliability ya operating system (IOS). IOS ni nzuri kwa performance na ndio inayoongoza kuwa stable, applications haziCrash ovyo kama kwenye Android. Na pia swala la applications zake kuuzwa hiyo sio ishu kwasababu kuna kitu kinaitwa (JAILBREAK), ni njia inayotumika kupata Applications zinazouzwa kwenye store (BURE). Mimi natumia iPad mda mrefu na nilishasahau kama applications zake zinauzwa kwani nikihitaji tu, nazidownload freely anytym, na kuJailbreak imerahisishwa zaidi, just a few clicks and your done! Kama alivyokwishasema mkuu "Leh" hapo, iPad ndio kila kitu kwa ubora, utendaji etc...!
WiFi + 4G(cellular) ndio nzuri, japokuwa hatuna 4G networks Tanzania, utaendelea kutumia 3G kama kawaida..Wi-Fi na Wi-Fi+4G kwa Tanzania nzuri ni ipi
hivi jaman hizo apps za kudownload (kwa kubuy) ni kama zipi wakati wamekuwekea pale tayari? Au ni games? Au vitabu? ZINA ULAZIMA AU UMUHIMU GANI?
Soki sio kwamba application zote zinauzwa, NO, zipo Top Free Top Paid hata kwenye Android Market applications zinauzwa vilevile, ni kwamba unaezakuta application flani zinauzwa kwenye Apple Store ila kwenye Android Market ni free, na vilevile kwenye Android Market zinauzwa wakati Apple Store ni free. Na Applications nyingi nzuri zinazouzwa kwenye Apple Store ni Games ila iPad yenyewe kama ilivyo inajitosheleza sana tu,,sio lazima kulipia Applications kama matumizi yako ni ya ofisini inajitosheleza sana, na kama utahitaji Games na Applications zingine zinazouzwa basi unachofanya ni kuJailbreak iPad yako na utapata hizo Applications Bure!
Wi-Fi na Wi-Fi+4G kwa Tanzania nzuri ni ipi
Yenye Wi-Fi pekee utalazimiaka kutumia net sehem zenye Wi-Fi peke yake, au la utalazimika kununua Mobile Wi-Fi, Lakn yenge 4g Utatumia line za kawaida kukamata 3g kama unavofanya kwenye simu yako yamkononi! Japo iPad zenye 4g ni ghali kuliko zenye Wi-Fi pekee lakini inalipa!
I would go for ASUS
I love androids kwakweli, apple wana ukiritimba kiasi flani kwa applications zao, nadhani wako kibiashara zaidi, vitu vingi wanauza lakini ipads huwezi kutuma texts wala calls, tofaufi na tabs za androids. (Nilishaandka sababu hapo nadhani hukuona)reasons
Wakuu mimi nipo sehemu hapa nje ya tz nimekutana na tablet ya blackberry, nataka ninunue. Mnaizungumziaje hii technically.
Swali lingine:
Hivi nikiwa na iphone naweza nikahitaji ipad kweli...I mean, kama nina smart phone kuna umuhimu wa kuwa na tablet?