Kama simu yako ishu ni memory nashauri ukishafanya installation hamishia baadhi ya mafaili ya app husika kwenye memory card kwa kwenda kwenye settings, apps, chagua app unaitaka kuihamisha, bonyeza move to sd card au nenda kwenye setting, storage, prefered installation, chagua sd card. Ukifanya hivyo apps zitaingia kwenye sd card na mafaili mengine yatabaki kwenye apps storage.