zimwilachi
Member
- Oct 22, 2016
- 40
- 23
Kwa wale wataalamu wa mambo yetu ya GRAPHICS nimefanya installation ya ADOBE PHOTOSHOP both CS5 AND CS6 lakini sioni ile option ya 3D. Nimejaribu kutafuta solution nakakutana na application ambayo uki-run inaleta hiyo 3D lakini nimeshinda kupata link ya kudownload hiyo app.