Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Huwa naivuaga hasa wkt wa kuoga ama kulala siku moja moja. Huwa sina michepuko tangu nilipooa mwaka.
Sikuipoteza makusudi ni bahati mbaya tu mkuu. Mana ni nzr na gharama sana na pia kumbuka baba paroka aliibariki kanisani..
 
Ina umuhimu machoni mwa wanajamii,ila kiuhalisia sidhani. Wife anakomaa irudi na wakati anajua imetumbukia chooni..
Pole sana, mie sioni ulazima wa pete kama ni upendo au uaminifu hutoka moyoni mwa mtu.
 
Kama ndoa haijavunjika achana na pete.
Vaa uaminifu,pete mzigo
Wife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.
 
Pole sana ilikuwaje mpaka ikaponyoka au vidole vimekonda[emoji3] [emoji3]
Niliivua nikaiweka juu ktk kile kitank cha maji kwa vyoo vya kuflash. Sasa baada ya kuvuta kamba ya kuflashia ndio ikateleza baada ya maji kuanza kutoka si huwayana kasi na vile vitank huwa vina-vibrate/tetemeka..
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…