Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Mwanye file la PDANET Full version, au mwenye linki ya kuaminika ya ku-dowload hiyo application full version, naomba anisaidie. Natumia PDANET kupata internet kwenye pc. Hii niliyonayo haifungui trusted websites, ni tatizo kwakweli. Naomba msaada wenu wakuu.