Msaada Pc inazingua

Msaada Pc inazingua

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..
 
modem ya voda! haitoshi kusema hivyo tu lazima uende mbele zaidi ,vipi inasupport 2G,3G au 4G
 
Specifications za hiyo computer zikoje mkuu? maana watu wanakurupu-kia tuu na kutupia kitu cha Windows 8 siku hizi huku wana kitu cha pentium 4 kavu unategemea nini?
 
jaribu mtandao mwingine au muulize mkuu Young Master atakusaidia kwa hilo
usichizike come down
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..
 
Last edited by a moderator:
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..

Maranyingi hilo ni tatizo katika usb device drivers,
Jaribu ku-ftesh install hiyo modem yako
Ama ujaribu usb ports mbalimbali katika pc yako alafu angalia kama tatizo lako litajirudia.
 
Back
Top Bottom