Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,970
- 10,463
Wataalamu wenzangu, msaada wa mawazo ya kiufundi.
Nina PC Dell Optiplex GX 270, haioneshi CD drive ambayo imekuwa installed. CD rom inapata power kama kawaida, kwa maana ya kwamba inaingiza na kutoa loader,ila haionekani katika 'My Computer'.
Nimejaribu kubadilisha CD drive nyingine, nayo haikuonekana. Nilibadili cables za data, bado haikuonekana. Nilijaribu kuingia katika BIOS, inasome "CD Drive Not Installed"
Please help with technical advice.
Details
Dell Optiplex GX 270 series
Intel Pentium 4 processor
2.06 Ghz processor speed
256 MB Ram
80 GB HDD