Msaada PC haimalizi kujirestast

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
Tatizo lilianza hivi nilipakuwa mtandaoni Free antivirus ambayo inaitwa AVG ili ifanye kazi ilihitaji PC niirestart sasa tangia hapo PC haimalizi kujirestart na mpaka sasa imechukua masaa manne bila kumaliza Je,tatizo nini kwa wanaojua ?
 
tatizo ni hiyo free antvirus...tu hakuna namna nyingi....kama unaweza toa hiyo hard disc upige window mpya kwenye pc nyingine....
 
samahani mkuu sijaelewa vizuri yani niwekaje window mpya kwenye PC nyingine
 
upo wapi kwani? au unaweza kupiga window mpya fuata atua zote za kupiga window mpya kama kwa flash ama kwa cd...hapo tatizo ni hiyo antvirus....inaonyesha pc iliathiriwa sana na virus ulivyoweka antvirus kashindwa kupigana na hao wadudu...
 
Asante mkuu ngoja nifanye kama ulivyonielekeza.
 
tatizo ni hiyo free antvirus...tu hakuna namna nyingi....kama unaweza toa hiyo hard disc upige window mpya kwenye pc nyingine....
Kupiga windows chin ni option ya mwisho kabisa baada ya kujaribu first aids zote zika kwama, sasa kwa kuanza hebu iwashe pc yako in safe mode halafu jaribu kui unstall hiyo software kabla ya kupiga windows chin.
 
oh kweli mkuu...ila wengi kuwasha kwenye form hiyo huwa hawajui...ila asante kwa kunisaidia...
 
Kupiga windows chin ni option ya mwisho kabisa baada ya kujaribu first aids zote zika kwama, sasa kwa kuanza hebu iwashe pc yako in safe mode halafu jaribu kui unstall hiyo software kabla ya kupiga windows chin.
imeshindikana mkuu inahitaji niirestart kwanza na nikiirestart ndio moja kwa moja inaishia hivyo hivyo.
 
Unajua ku boot from safe mode?? Maana na hitaji kufanya timing ya hali ya juu kati ya bios info na OS boot .
 
Wakati pc inawaka bonyeza bonyeza F8 mara nyingi
Timing inabidi hapo kati ya bios setting na os boot coz hutegemeana na aina ya pc maana baadhi ya product uki press F8 inakupeleka kwenye bios config na zingine inakupeleka kwenye boot device priority.
 
Ok. Lakini sijawahi kukutana na pc ambayo F8 Inaenda kwenye Bios settings. Na F8 Imekuwa ni special Key kwa windows safe mode isipokuwa kwa windows 8 , 8.1 na 10.

Ukibonyeza F8 mara nyingi sana Pc itakuletea KeyBoard Error ambapo itakuambia PRESS F1 to continue na itakuletea Options
1. Safe Mode
2. Safe mode with Command Prompt
3. Start windows Normally.

Na hiyo ni kwa windows 2000. Xp, vista,7
 
nimechelewa kupitia huu uzi... mkuu wala huna haja ya kushusha windows hapo.. we restore from latest updates utaona hiyo AVG inasepa yenyewe bila kushikwa... na vingine vyote vinabaki kama vilivyo na pc inapiga mzigo kama kawa..!
 
Mimi PC yangu nikiwasha inaandika tu jina la kampuni, mfano toshiba basi then inajirestart haiload window kabisa, tatizo linaweza kuwa nini wakuu
 
Os ime corrupt ambayo mara nyng husababishwa na tatizo la hdd kama sectors zimeshindwa ku trieve os files solution yako inafanana kabisa na ya mdau hapo ambayo nimeisha tolea maelezo hapo juu lakin kabla angali kama kuna device yeyote imechomekwa wakati pc inawashwa mf external hdd, flash disk nk chomoa vyote kama vipo then zima halafu washa tena.ukioona unapata majibu hayo cheki os yko na hard disk yako kama vip ingiza upy os
 
Itabidi nifanye hvy kaka
 
Back
Top Bottom