code huwa inatumwa kwenye namba ako. Then itakubidi ufate maelekezo ya iyo mesej kwa kulog in kwene website ya crdb upande wa security na kujaza hizo code, na kubadili pale unapotaka..
nb:wafanyakaz wa branch nyng hawana uzoefu na hii kitu.. Jiandae kuzungushwa zungushwa