msaada: Paypal Refunds

msaada: Paypal Refunds

ccafrica

New Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wandugu. Shida yangu kuwa. Ikiwa seller kwenye ebay ame refunded money to ur paypal. Inakuaje hapo ukitaka hela yako irudi kwenye a/c yako ya nbc? Au kwenye a/c ya paypal?
 
mkuu huwa inachukua muda hadi siku 30 hiyo refunded amount kuonekana kwenye ac yako. kuwa mvumilivu
 
Mkuu hiyo hesabu hasara, bank zetu nyingi local huwa hawana uwezo wa kupokea malipo kupitia paypal. Ilishawah nitokea kipindi nimeanza kutumia paypal, nililipia karibia laki na 60 afu nikawa refunded. Hiyo pesa sijawah kuiona milele amina. Paypal ukiwasiliana nao wanakwambia sisi pesa tulishai-refund muda tu ko wasiliana na bank yako. Bank ukienda mambo ya paypal hata meneja mwenyewe hajui ni vitu gani asa unadhan utasaidiwa hapo?
Habari zenu wandugu. Shida yangu kuwa. Ikiwa seller kwenye ebay ame refunded money to ur paypal. Inakuaje hapo ukitaka hela yako irudi kwenye a/c yako ya nbc? Au kwenye a/c ya paypal?

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Ukiwa refunded na paypal kuna email inakuja kwako from paypal, pia in your paypal transaction hiyo refund itaonekana, print hizo document mbili nenda nazo bank, hela yako itarudi, crdb huchukua 2 days baada ya kupeleka hivyo viambatanisho.
 
Asanteni sana kwa ushauri wwenu nitafatilia bank. Na hizo document na kuhusu NBC inawezeka
 
nakubaliana na wewe. ilisha Nitokea muda niliopewa ilikuwa ni masaa 48. Na kweli baada ya huo muda fedha yote iliweza kuonekana kwenye account yangu. Paypal fedha yako inakuwa salama.
 
Habari zenu wandugu. Shida yangu kuwa. Ikiwa seller kwenye ebay ame refunded money to ur paypal. Inakuaje hapo ukitaka hela yako irudi kwenye a/c yako ya nbc? Au kwenye a/c ya paypal?

Mkuu hiyo hesabu hasara, bank zetu nyingi local huwa hawana uwezo wa kupokea malipo kupitia paypal. Ilishawah nitokea kipindi nimeanza kutumia paypal, nililipia karibia laki na 60 afu nikawa refunded. Hiyo pesa sijawah kuiona milele amina. Paypal ukiwasiliana nao wanakwambia sisi pesa tulishai-refund muda tu ko wasiliana na bank yako. Bank ukienda mambo ya paypal hata meneja mwenyewe hajui ni vitu gani asa unadhan utasaidiwa hapo?

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

Account zetu za Tanzania hazina uwezo wa ku receive funds from paypal, kinachowezekana ni reversal ya transaction ama full refund ya paypal lakini isizidi 60 days from the transaction date.

Kama pesa imekua reversed kwenye statement ya Paypal itaonekana na kama imehang bank basi utaona una balance mbayo huwezi withdraw sababu ni uncleared amount.

Pesa huwa inarudi bila shida ila kumbuka imunity ya account za bongo ni 60 days ila wenzetu wa ulaya wao wanaweza receive funds siku yoyote sababu benki zao zinaruhusu kupokea funds from paypal.
 
Yaani meneja wa Bank hajuwi Paypal ni kitu gani!!! kweli Tanzania safari bado ni ndefu.
 
Yaani menenja wa Bank hajuwi Paypal ni kitu gani!!! kweli Tanzania safari bado ni ndefu.

Nilienda crdb dodoma. Wakati nasubiri kadi yangu nipewe ile code ya paypal tukawa tunatia story. Yule dada akashangaa kusikia paypal yani hana idea. Akaniambia nisipende kutumia vitu nisivyovijua. Kumbe nampima tu. Yani mtu iyo ndio kazi yako na hujui kitu kweli ni balaa
 
wana jamvi naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga na pay pal, na mm nataka kununua bidhaa mtandaon
 
Mkuu hiyo hesabu hasara, bank zetu nyingi local huwa hawana uwezo wa kupokea malipo kupitia paypal. Ilishawah nitokea kipindi nimeanza kutumia paypal, nililipia karibia laki na 60 afu nikawa refunded. Hiyo pesa sijawah kuiona milele amina. Paypal ukiwasiliana nao wanakwambia sisi pesa tulishai-refund muda tu ko wasiliana na bank yako. Bank ukienda mambo ya paypal hata meneja mwenyewe hajui ni vitu gani asa unadhan utasaidiwa hapo?

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

Ushauri: Kama nimtumiaji sana wa online transaction, nenda diamond trust bank(DTB) or Exim bank, omba (credit card), DTB wana visa, na exim wana mastercard.

Nimeambiwa CARD ya DTB ndio yenye ghrama nafu zaidi kimatunzo(service charges) kuliko card za bank zingine hapa tanzania

Na pia kwa kuwa hizi card zinakuwa na limits, unayo jiwekea hata ikipigwa online ina kuwa to the limit of your card mfano ukiweka deposit ya Tshs 1m Utawekewa limit ya laki 8. tofauti na debit card ukipigiwa wezi wana piga to the balnce of your account moja kwa moja

baada ya hapo uwe unatumia hiyo card yako kwa kuificha nyuma ya paypal, inapotekea umekutana na muuzaji muhuni ebay, refund huwa ni swift, with 24 our it refelects back to you card account.
 
Back
Top Bottom