Msaada patern za huawei zimejilock

Msaada patern za huawei zimejilock

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Habari wakuu!

Msaada kwa anayejua namna ya ku unlock pattern zilizojilock mtoto kachzea sim imejilock pattern na iternet ilikuwa off
 
Njia rahisi ninayoifahamu ni hard reset..

Unatumia huawei gani ?
 
fanya hivi.
1. zima simu
2. bonyeza cha kuwashia simu na kuongeza sauti kwa
pamoja mpaka simu iingie recovery.
3. bonyeza volume down kushuka chini hadi uifikie wipe
data/ factory reset
4. bonyeza cha kuwashia simu kueka ok kisha kubali
kufuta hizo data.
5. rudi juu kwa kutumia volume up hadi kwenye reboot
system



ukifanikiw leta feedback mkuu
 
kama ungependa vitu vyako vibaki chukua pc then fuata hatua utakazo elekezwa kwenye video link yake hii hapo chini :
m.youtube.com/watch?v=QYdkgO1KHmk
 
kama ungependa vitu vyako vibaki chukua pc then fuata hatua utakazo elekezwa kwenye video link yake hii hapo chini :
m.youtube.com/watch?v=QYdkgO1KHmk

huwezi ukatumia mpaka usb debugging iwe on
 
Back
Top Bottom