Msaada past papers za general studies (GS)

Msaada past papers za general studies (GS)

download thl app...halafu ilipie kwa m pesa au mtandao wowote kisha nenda sehemu iliyoandkwa quizzes utazikuta za miaka yote
 
Unatafuta za nini?, mm mwaka 2009 nilipata F hilo somo. Licha ya kusoma past papers kibao, hako ka mtego kajinga sana. Yaani kalishusha grade yangu pumbavu. PCM & PCB & CBG... Hapo kwa GS ujanja wangu uligotea baharini. GS somo pumbafu sana, usitafute past papers we yajue mambo ya present basi....lasivyo utakula mswaki na watakushusha grade endapo utajiokotea I/II.
 
Zamani jf unaweka bandiko lako, unapatiwa ufumbuzi lakini siku zinavyo zidi kwenda mambo yana badilika ukiweka bandiko lako hapa usubiri matusi, kejeli na dharau ya kila aina halafu unajiita great thinker, great thinker my A.s.s usiejua kutofautisha matumizi ya majukwaa humu jf. Kila jukwaa unachangia pumba tu.
Elements za facebook ziacheni facebook.
 
Hii ndio Jf
Amna kitu kabisa
 
Mwambie Mwalim wako wa GS akupe ñna uhakika anazo, lkn za nn ndugu yng??
 
sijui kwa sasa syllabus yenu ikoje,ila me sikuwahi kujisumbua kusoma Gs hata one day,paper niliifanya kwa target tu,,nilifanya swali la communication skills, economic intergration, environmental issues na science,technology and industry .hizo topic ni za kutumia akili tu sio lazima ukomae na desa na nilijipatia S yangu nikapita hivi.
 
Sorry mkuu nilitaka kumkwoti mleta mada ambaye amebakisha mwezi afanye mtihani wa kitaifa lakini yupo humu JF
Unadhani wote wanalala kwenye vitabu kama wewe ulivyokuwa unasoma. wengine wanasoma dakika za mwisho!
 
Back
Top Bottom