Hahahahahha mazee unapiga cha wapi??? Maana ....!!!!![]()
hahahahah humu jf ndiyo maktaba au? acha ubashite bhanawakuu
Kuelekea mtihani wa Necta kidato cha sita
Naomba msaada wa past paper za GS
Na anatukana watu wazimaDaah, hivi kumbe mda mwingine huwa napoteza akili na nguvu nyingi sana kubishana na watoto wadogo wa 4m 6, daah
Pumbavu we
Sio kila anayefanya mtihan ni mtoto, kama huna coment funga domo lako
Kufaulu ni pamoja na kuwa na nidhamu ya hali ya juu kwa wakubwa na wadogo, acha kutukana watu mkuu.
Sawa mangiHajatukana ila kamwambia ukweli tu...
Hapana aisee ntaishia kupigwa ban humu...tena ya mileleCha Lilongwe Mkuu vipi unataka nikuletee na Wewe uonje kidogo ulanduke kwa kutukuka?
Hapana aisee ntaishia kupigwa ban humu...tena ya milele
Nimegoogle sijafanikiwa!
Ndio maana majibu yako yana busara zaidiPumbavu we
Sio kila anayefanya mtihan ni mtoto, kama huna coment funga domo lako

SAWAWangap shule walikuwa na nidhamu mwisho wao wakapata bashite?
Sijatukana, nimemwambia uyo dogo ukweli sio kuropoka tu