Msaada original samsung s4

Msaada original samsung s4

Mkuu naomba tueleweshe inatokea nini ukigonga hizo code, na je ikiwa feki nini kinatokea. Situmii Samsung ningejaribisha.


*#0*# LCD TEST

Kama ni original itakuletea. vyumba vyenye
rangi iliutest kuna red blue sensor n.k


*#1234# VERSION

Itakwambia ni samsung gani ? Mfano S7562
 
Kwa mara ya kwanza unatuma Reg*serial no# send to 15685 ili kuactivate guarantee yake ambayo ni 2yrs km orginal utapewa feed back
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom