Mpogoro
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 387
- 62
Kuna mtu yeyote ana-uzoefu na matumizi ya ORACLE WAREHOUSE BUILDER katika implementation ya data warehouse?
Kuna shule yangu moja nafanya na inahitaji nitumia hii kitu ku-implement a warehouse.Kama kuna mtu ana uzoefu wa
kutosha naomba ani-PM nimuulize mambo mawili matatu kwa uzuri zaidi.Shukrani in advance.Shule za uzeeni ni nuksi!