MSAADA OPPO A83 HAISUPPORT WHATSAPP NA YOUTUBE

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,610
Reaction score
2,274
HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa. maana niliagiza hii simu ili inisaidie angalau kwa miezi kadhaa wakati nafanya mpango wa kununua simu nyingine. Kwani simu yangu Sumsang S9+ Iligoma touch ghafla.
maujanja ninayoyaulizia hapa ni kama vile kuroot na kuupgrade version kama inawezekana kwa simu hii... Natanguliza shukrani...
 
Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.
 
Software 128gb ram 6
Hardware 16gb ram 2
App zinajiconfuse ipi kati ya software na hardware ndiyo sahihi
 
Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.
 
Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.
Mkuu hivi hapa wanafanyaje asee, ninayo pia moja ni gb 256 kwa 6gb Ram ila nimekuta bootloader ipo unlocked na sim ni mpya ni Samsung. Apps kama WhatsApp zinagoma hii issue wanafanyaje..
 
Simu sio mpya, wana claim tu ni mpya ila si kweli. Jaribu kuiflash uweke firmware halisi ama mrudishie aliekuuzia asolve mwenyewe.
 
HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa. maana niliagiza hii simu ili inisaidie angalau kwa miezi kadhaa wakati nafanya mpango wa kununua simu nyingine. Kwani simu yangu Sumsang S9+ Iligoma touch ghafla.
maujanja ninayoyaulizia hapa ni kama vile kuroot na kuupgrade version kama inawezekana kwa simu hii... Natanguliza shukrani...
Nina simu ya Android version ya 6.0 inapiga kazi vizuri tu WhatsApp na Youtube.
Muda si mrefu wamenitumia ujumbe niupdate whatsApp, wamenipa siku 15
 
Back
Top Bottom