HP DV9000 blank screen fix! Video problem BGA rework

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120

HP DV9000 blank screen fix! Video problem BGA rework
This fix also works on the
HP DV2000, DV6000 and DV9000 there are a couple more HP's with this BGA video issue. Also effected by this issue are a couple Compaq models. The Comaq Presario V3000 V6000 and a couple of the Pavilion models.





i have tried alot to find wat many of HP DV series users are looking for cos this is the most likely problem for HP dv series, i hope it will help you.
and dont forget to say thanx...!!
 
Last edited by a moderator:
Ohhh safi sana Huyu jamaa ni fundi. na ana vifaaa na inawezekanani mtu wa electronics .

Nimeangalia video yote naweza kuisummary na kuongeza mawili matatu kama ifuatavyo

1. Huyu mtaaalam anasema inachukua si chini ya masaa mawili. Hapo kumbuka yeye ni mtaaaam na ana vifaa.
Observation
So kwa mtu ambaye kufungua laptop itakuwa ndo mara yake ya kwanza hata kama anavifaa inaweza ikamchukua hata masaa zaidi ya manne. So jipange na andaa muda.

2. Kitu kingine mwishoni kabisa ameonyesha fan ilikuwa ina uchafu na hivyo akasema inawezekna ni moja ya sabbau kubwa iliyosabababisha heat sink kuchemsha na kwa kwa kuwa Video card iko karibu na heat sink basi tatizo ndo likawa hilo.

Observation
So kwa wale wenye latop hizi amabo hawajapata matatizo hapa kuna mambo mawili hizi laptop

  • zinahitaji zitumike katika mazingira ya ubaridi na kuhakikisha zinapigwa blower mara kwa mara kuondoa uchafu kwenye ventilator ili kuasifisha njia ya hewa kupita.

  • Ikiwezekana kama hutumii laptop yako hakikisha umeizima.

  • Usiitumie laptop huku ikiwa kwenye vitu laini kama godoro, shuka, etc. itashhindwa kupumua na kupooza vizuri.
Nice video
 
nikweli kabisa mkuu mtazamaji hivi model inaonyesha ni mayai sana azipendi vumbi wala joto ukiweza kuzingatia haya lazima itadumu taizo watengenezaji baada ya kubaini haya hawajawaeleza watumiaji wafanyaje
 
@mtazamaji
kaka asante kwa kudadafua maelekezo ya technicin wetu, mfumo wa feni katika HP DV series zote ni mbovu, nadhani ukiangalia ktk video utaona kile kibati cha coper kimegusa ktk CPU pekee na hakija gusa ile part ya Video card thats why ikawa over heated, na kutatua fundi we2 kaelekeza jinsi yakupunguza tatizo hlo kwa kuweka ki bati katika video card,
 
Ile class action vs HP kuhusiana na hizi laptops imeishia wapi?
 
Alafu nimegundua solution nyingine, ukitaka kurudisha display unatakiwa kujaribu ku toa betri kwa muda wa takriban 3hrz then unairudisha, icpo waka ndio una fanya step hyo hapo juu, mine imefanya kazi
 
Alafu nimegundua solution nyingine, ukitaka kurudisha display unatakiwa kujaribu ku toa betri kwa muda wa takriban 3hrz then unairudisha, icpo waka ndio una fanya step hyo hapo juu, mine imefanya kazi

Sasa mbona kule kwenye thread nilikuandikia hiyo solution ya Hard reset ukasema umeshajaribu. tena nilikuwekea source ya slution kuwa ni HP wenyewe wanapendekeza.
 
.........
DO THIS FIRST - Perform a hard reset If a PC suddenly fails to boot properly, you should perform a hard reset as the first procedure.

Disconnect all peripheral devices and remove all USB devices and media cards. You want to test the computer not the accessories!

Disconnect the AC power adapter, remove the battery, and then press and hold the power button for at least 15 seconds .

Reconnect the AC power adapter (but do not connect the battery), Press the Power button, Look for glowing LEDs near caps lock and num lock keys, and Listen for sounds of a disk drive and fan turning.

If the notebook does not start and a black screen still appears after following the steps in this document, contact an HP Service and Support technician for further assistance. Click the Contact HP link in the upper left column on this page, or go to the hp.com home page and select Contact HP / Customer Service for information about the support options in your location.

this was wat u told me au nimekosea....!!
 
Back
Top Bottom