Msaada Ofisi Za TCU Zilipo kwa Dar

Msaada Ofisi Za TCU Zilipo kwa Dar

Watu wavivu sana kutafuta taarifa google, sijui ni upeo wao mdogo ama vipi? Watz jmn elimu, elimu, elimu, daaa
Mkuu kwani hapa sio google?
hata hivyo ni vizuri nimeuliza hapa ,kwani google yako inanipeleka mikocheni walikohama bt Jf imenipeleka Mlimani City na Nimewapata
 
ipo opposite na mlimani city, yaani ukisimama mlimani city utaliona jengo limeandikwa TCU kwa maandishi makubwa mekundu
 
TCU watafunga milango sasa washenzi sana Magufuli kawachinja
angefukuza na baadhi ya wafanyakazi wa pale waligeuka miungu mtu kipindi cha udahili... sasa wata isoma namba sitosahau walihongwa milion 200 wakisajiri chuo cha kiu
 
OUT imekosa wanafunzi mwaka huu kisa TCU mtu wanakupangia tu ukasome kijijini chuo kikuu kama unasoma Kilimo
 
Back
Top Bottom