MSAADA: Nyoka ameingia ndani kwangu

vip nyoka wa jana mlimalizanaje mkuu?
 

Mtafute Adam na Hawa wakusaidie Kukuulia kwani hao Wawili na Nyoka wana ushirikiano tokea katika Bustani ya Aden huko Mbinguni kabla ' hawajamtibua ' Mwenyezi Mungu.
 
Mpuuzi wewe, jf ifanyeje na huyo nyoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…