msaada:NOTE BOOK YANGU HAIDISPLAY KITU

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,346
3,006
Habari?
Nina note book yangu nikiiwasha hua haidisplay kitu,
lakini inaonesha imewaka,
kuna rafiki alisema ali-force kui-shut down baada ya kufungua mafile mengi.
Naomba msaada wenu.
Ahsante
 
my net book ikileta kokoro kama hizo huwa nachomoa betri,afu nairudisha naiwasha kwa safe mode.imetokea twice and worked perfectly fine for me.sijui kama ina madhara yaliyojificha lakini.
 
Habari?
Nina note book yangu nikiiwasha hua haidisplay kitu,
lakini inaonesha imewaka,
kuna rafiki alisema ali-force kui-shut down baada ya kufungua mafile mengi.
Naomba msaada wenu.
Ahsante

Nadhani ni NET BOOK siyo NOTE BOOK
 
Back
Top Bottom