Habari,,,,
Jamani naomba msaada wenu simu yangu ya nokia x3 inanikatalia security code niliyokuwa natumia kipindi chote yaani kila nikiingiza inaniambia code error. Nimejaribu kutoa betri then nimeirudishia still bado inagoma.naombeni mawazo yenu..