Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Mar 9, 2013 #1 Wana Jf naomba msaada simu yangu haifungui email software iliyopo kwenye menyu lakini mwanzo ilikuwa inafunguka
Wana Jf naomba msaada simu yangu haifungui email software iliyopo kwenye menyu lakini mwanzo ilikuwa inafunguka
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,581 Reaction score 5,322 Mar 9, 2013 #2 E-mail gani (Yahoo! Gmail n.k)? Je default browser ndiyo inayogoma? Je tatizo ni kwenye aina hiyo ya simu au hata kwa simu nyingine?
E-mail gani (Yahoo! Gmail n.k)? Je default browser ndiyo inayogoma? Je tatizo ni kwenye aina hiyo ya simu au hata kwa simu nyingine?
Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Mar 9, 2013 Thread starter #3 Kimbori said: E-mail gani (Yahoo! Gmail n.k)? Je default browser ndiyo inayogoma? Je tatizo ni kwenye aina hiyo ya simu au hata kwa simu nyingine? Click to expand... yaani ni software ndo haifunguki nikifungulia operamin email inafunguka sasa sijui tatizo nini
Kimbori said: E-mail gani (Yahoo! Gmail n.k)? Je default browser ndiyo inayogoma? Je tatizo ni kwenye aina hiyo ya simu au hata kwa simu nyingine? Click to expand... yaani ni software ndo haifunguki nikifungulia operamin email inafunguka sasa sijui tatizo nini