Msaada : nokia phoenix error "please install nokia dongle'

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
7,800
14,424
Wakuu nimeistal softwara ya nokia phoenix service lakin kila nikijaribu kuifungua inaleta hii message " please install nokia dongle' nimejaribu kugoogle sijaipata! Mwenye kujua njia ya kusovu ilo tatizo anisaidie
 
Mkuu dongle ni kakifaa flan ambacho lazima uwe nacho ili uweze kufanya unlocks na servicing pia.
 
Dah bado sijazidownload ndio nilikua nashughulikia iyo program kwanza!
 
ukifanya mambo nusu nusu hutafanikiwa kamilisha kwanza. phoenix haihitaji msaada wa kitu chengine ni pc yako tu
 
ukifanya mambo nusu nusu hutafanikiwa kamilisha kwanza. phoenix haihitaji msaada wa kitu chengine ni pc yako tu

sawa kaka hii software ya kudownloadia firmware nimeshaipa na nimeshazipa firmware za simu yangu! Ila tatizo linakuja nikitaka kufungua phoenix bado inaniletea huo ujumbe install nokia dongle and try to open again
 
maybe antvirus inablock mafile kaka disable antvirus kwanza halafu download upya ucheki
 
Back
Top Bottom