Sawa. Nimeweka line ya halotel na voda zote hazisomi.Hueleweki
ok sawa chief sasa message inasema hivi.Mkuu puk si tatizo la simu Ni la line, umejaribu kubadili line nyengine? Line mpya siku hizi zinakuja na pin/puk.
Sawa. Nimeweka line ya halotel na voda zote hazisomi.
Message: Emergency calls only. Nadhani nimeelewka
Kama inaonyesha emergency call onlyok sawa chief sasa message inasema hivi.
Emergency calls only
Enter PUK
nimejaribu lain ya voda na halotel zote message ni hiyk
je nikipata lain mpya yenye PUK inaweza soma
Wakati mwingine ukikosea pin emergency call only na mambo ya PUK yanatokea yoteSasa shida ni PUK au ni hiyo emergency call Only?
Emergency call only inaweza sababishwa na simu kuwa locked mtandao fulani na puk Ni suala la line, Ni vitu viwili tofauti.ok sawa chief sasa message inasema hivi.
Emergency calls only
Enter PUK
nimejaribu lain ya voda na halotel zote message ni hiyk
je nikipata lain mpya yenye PUK inaweza soma
Apana mkuu simu imetoka nchi nyingine mara my NBA nyingine hazisomi hapa mpaka kwa utaratibu fulanimWakati mwingine ukikosea pin emergency call only na mambo ya PUK yanatokea yote