Msaada Nokia lumnia haisomi

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,937
Msaada nokia lumnia imetoka uk
inadai puk ukiweka sim card ninayo kihalali kabisa dogo anaishi huko
 
Mkuu puk si tatizo la simu Ni la line, umejaribu kubadili line nyengine? Line mpya siku hizi zinakuja na pin/puk.
 
Mkuu puk si tatizo la simu Ni la line, umejaribu kubadili line nyengine? Line mpya siku hizi zinakuja na pin/puk.
ok sawa chief sasa message inasema hivi.
Emergency calls only
Enter PUK
nimejaribu lain ya voda na halotel zote message ni hiyk
je nikipata lain mpya yenye PUK inaweza soma
 
ok sawa chief sasa message inasema hivi.
Emergency calls only
Enter PUK
nimejaribu lain ya voda na halotel zote message ni hiyk
je nikipata lain mpya yenye PUK inaweza soma
Kama inaonyesha emergency call only
Jaribu kuwapigia Kwanza hao voda au halotel waambieni umesahau PUK au code ya kuondolea lock kwenye sim card Kisha watakupa ukiwajibu maswali yao kisha utaziweka kwenye prompt na simu itafanya kazi ila Kama unalo kava la simu card huwa zinakuwa pale
 
ok sawa chief sasa message inasema hivi.
Emergency calls only
Enter PUK
nimejaribu lain ya voda na halotel zote message ni hiyk
je nikipata lain mpya yenye PUK inaweza soma
Emergency call only inaweza sababishwa na simu kuwa locked mtandao fulani na puk Ni suala la line, Ni vitu viwili tofauti.

Ikishindikana inabidi uwaone mafundi wa ku unlock simu.

Pia Ni Lumia gani? Maana nyengine hazi deserve hata kuzishughulikia.
 
Wakati mwingine ukikosea pin emergency call only na mambo ya PUK yanatokea yote
Apana mkuu simu imetoka nchi nyingine mara my NBA nyingine hazisomi hapa mpaka kwa utaratibu fulanim
numepata msaada nafanyia kazi

simu imetoka nje
 
Back
Top Bottom