msaada nokia lumia windowphone 8

unatumia simu aina gani? kwa fb kwa sasa haipo Windows 8 au 8.1 inapatikana kwenye w10, kama simu yako ina RAM 1GB unatakiwa ku update simu yako kwenda W10
 
Nina window phone 8 haidownload whatsApp wala Facebook app haifanyi kaz naomben msaada wakuu

sasa hivi whatsapp inakubali kwenye windows 8.1mobile na kuendelea, facebook na facebook messenger inakubali kwenye windows 10 mobile. hivyo unatakiwa kuUpdate simu yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom