msaada Nokia E75-

msaada Nokia E75-

Eshacky

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
965
Reaction score
252
Habari, ninatumia Nokia E75, kabla cjaiflash email zilikua zinaingia bla tatizo kama message za kawaida, ila baada ya kuiflash ni mpaka nisign in, then ni refresh ndo zinaingia. Ni usumbufu, msaada wa kuu..
 
Back
Top Bottom