Usiwe Na Password Nyingi Utasahauwakuu nina hii simu Nokia c31 niliiweka bila kuitumia muda kidogo sasa nimesahau password naomba msaada wenu mwenye kufahamu njia ya kufanya,ahsante.
Nawaleta Wataalam Sasa Hivisawa msaada mkuu
Swali je Gmail account unakumbuka?wakuu nina hii simu Nokia c31 niliiweka bila kuitumia muda kidogo sasa nimesahau password naomba msaada wenu mwenye kufahamu njia ya kufanya,ahsante.