nokia x2-01 imegeuka kuwa c3-00!!

nokia x2-01 imegeuka kuwa c3-00!!

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
1,992
Reaction score
1,294
nimekutana na mtu analalamika simu yake ya nokia x2-01 imefanya kama inajiupdate mara baada ya kuzima na kuwasha settings zote zimebadilika na browser haifanyi kazi, kwenye bluetooth menu inajiandika kama c3-00. baadhi ya key za shortcut hazina function. msaada kwa anayejua kuhusu hili au kama imewahi tokea
 
Naadhani itakubidi ukaflush simu,itakuwa bomba tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
possible ni bug ameletewa update ya c3 mwambie aconect simu na nokia suite then aangalie update mpya kwenye simu. sio big issue sana
 
browser ya simu haifanyi kazi,hlf haiwezi kujiconnect na computer through bluetooth kama mwanzo using nokia suit/ ovi application
 
Asanteni kwa ushauri mliotoa, simu I
mepona
 
Back
Top Bottom