patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 286
Poleni na kazi wanajamvi, kama kuna aliyewahi kutumia Nokia C5-3 naomba msaada namna ya ku-install whatsapp .
Nimekuwa nikitumia WhatsApp kwenye hii simu toka mwaka jana, sasa miezi miwili iliyopita, program hii ili-block ikanitaka download new Version then ni-install, nilifanikiwa kudownload lakini kila nikitaka ku-install inaniletea alarm na massege kwamba no enough space in Phone memory.
Nimejaribu kufuta vitu kwenye phone memory bado inarudia na ujumbe huo huo, please help me, thank's inadvance.