Msaada: Nokia asha na blakberry!

Msaada: Nokia asha na blakberry!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Wadau, kunasimu zaaina mbili nataka kupatahabari zake

moja ni hii nokia asha 305, hivi siwezi ku-upgrade kutoka 2G kuwa 3G? inatumia line ya tigo.

nyingine ni Blackberry, nitapataje software ya skype ya bure kwa simu aina hii?

wasalaam!
 
.
Haiwezekani
.
 
1. Haiwezekani, hii ni limitation ya hardware ya simu, ni makusudi Nokia wamefanya kuobgeza battery life ya hizi simu, maana 3G inakula battery.

2. Inategemea ni BB ipi, nenda App World kwenye simu yako kisha search Skype, usipoikuta maana yajr hiyo simu haiko supported.
 
big thanks nyie watu! mbarikiwe
 
Os7 na Os10 ndio zina support Skype kwenye upande Blackberry.
 
Back
Top Bottom