katie kwenye maji ya moto kwa dk 5 tu,katakuwa tayari kamejiunga naa whatssap automaticaly.
katie kwenye maji ya moto kwa dk 5 tu,katakuwa tayari kamejiunga naa whatssap automaticaly.
katie kwenye maji ya moto kwa dk 5 tu,katakuwa tayari kamejiunga naa whatssap automaticaly.
thanx mkuu,will do just that.Mkuu huku umepotea njia, wa PM mod wahamishie topic yako jukwaa la sayansi na tech. Au nenda huko kafungue topic upya eleza kinaga ubaga aina ya iphone yako utasaidiwa kuna wataalamu wakutosha
Hapa utaishia kupewa majibu ya ajabu ajabu tu
umeona eeee?mpaka marehemu wanakutumia picha!mkuu nimefanya kama ulivyoniambia...kamefanya kazi...ila mama ako kantumia picha ya ajabu kabisa ...si ananionyesha tundu ulipotokea kuja hapa duniani aisee!!
mkuu nimefanya kama ulivyoniambia...kamefanya kazi...ila mama ako kantumia picha ya ajabu kabisa ...si ananionyesha tundu ulipotokea kuja hapa duniani aisee!!
Hizi bangi zingine bana!!utapata laana bure na kisimu chako!third part kaingiaje hapa
Kama huwezi kutumia ulinunua ya nini? Acheni kufuata mkumbo!
LAANA NI UJINGA WAKO WA KUAMINI IVYO...UNAIJUA LAANA?UNAJUA MAZINGIRA YA MTU KUACHIWA LAANA...UMEPANIK BRAAH,KWAIO WEWE UKISKIA.....MAMA YAKE $"!&^*$ ZAKE,BASI HUYO MAMA ATANIPA LAANA???HAHAHAHA.....misconception!!!! mbona hawa wamama tunawagegeda pia!
Msaada wenu wataalam wa simu,kutoka nokia tochi mpaka huku... naomba msaada wenu .
ufahamu wangu mdogo kwenye hili.
unaweza kuUpgrade vizuri tu kwa kutumia blobs,,Mkuu nadhani hiyo iphone ilikuwa jailbroken then unlocked kwenye version ambayo whatsapp haifanyi kazi kwenye hiyo version anymore ukidownload whatsapp itakwambia u can't download whatsapp you need to have version 5 or more to download whatsapp na tatizo iphone 3,3G or 3gs ikiwa jail broken na kuunlockiwa huwezi kuupgrade version anymore na hilo ndio tatizo mkuu so kwa kifupi kama hali ndio hivyo kwako pia basi ndio huwezi kutumia whatsapp kabisa kwenye hiyo simu otherwise labda case yako iwe tofauti mimi hadi ilinibidi ninunue HTC as my iphone 3gs nilishindwa kabisa kuweka whatsapp kwa sababu hiyo. Hope nimekusaidia mkuu