Msaada: Nitumie njia zipi kuipata laptop iliyoibiwa?

mimi kama mtaalamu wa IT nikuhakikishie hutaweza kupata mojawapo ya vifaa vyako kwa sasa ushauri ukinunua laptop nyingine taarifa muhimu hifadhi dropbox ili uweze kuzipata endapo kifaa chako kitapata tatizo
ufafanuzi tafadhali kuhusu hiyo dropbox
 
mimi kama mtaalamu wa IT nikuhakikishie hutaweza kupata mojawapo ya vifaa vyako kwa sasa ushauri ukinunua laptop nyingine taarifa muhimu hifadhi dropbox ili uweze kuzipata endapo kifaa chako kitapata tatizo
Usalama wa Dropbox ukoje kama Taarifa ninayohitaji kuhifadhi ni nyeti?
 
Back
Top Bottom