James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,578
- 2,664
Sio baba mimi ni graduate mwaka huuWewe ni baba wa familia unatakiwa uwe na uwezo wa kutoa tamko mara moja na LIKATEKELEZWA bila kuhojiwa kwa kesho nzuri ya hao watoto!
Hapo wewe ndo umeyumba na si watoto.
Sio mzaZi mimiMalezi huyawezi
Mtoto analetewa watoto awalee huo ni utoto.
Too much freedom by the name of democracy is harmfully. To be a leader is to suffer for others, due to time comfusion lets me stop here.
Hahaha mwambie Magufuli atoe tamko ikulu, marufuku vijana washule ngazi zote kuonekana nje popote. Wakae ndani wasome.
Umekwepa swaliKusoma ni sehemu tu ya njia ya kupata maarifa. Zipo nyingi, kuna kusikiliza, kutazama, na kujifunza kwa kuigilizia kwa vitendo.