Vita C...!! Mzee... Piga machungwaaaa kwenye mlo wako wa kila siku yani kama dawa huku ukipiga na dose ya vit c.Ascorbic acid/ vitamin C utakuja nishukuru
Kwani inasababishwa na niniAscorbic acid/ vitamin C utakuja nishukuru
Sifaham mkuu, ila nilikuwa na tatizo kama hilo ulimi kufa ganzi na michubuko isiyoisha kwenye ulimi mbaya zaidi hadi fizi zilikuwa zimeachia meno kabisa, hata kupiga mswaki ilikuwa shughuli pevu, nilipoenda kwa dkt akaniandikia hivyo vidonge, niwe natumia mara kwa mara, tatizo liliisha kabisaKwani inasababishwa na nini
Ndio mkuu (ascorbic acid), ila unaweza pia pata ushauri kwa wataalam kuhusu tatizo lakoMkuu hii ni dawa moja au..?
Mkuu hii ni dawa moja au..?