Msaada nitumie dawa gani kwa tatizo hili la ulimi?

Lager

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
389
1,071
Ni kama ulimi umechanikachanika japo si sana na radha nahisi bado ila nahisi Kama kuwa na ganzi midomoni!..

Nitumie dawa gani?
 
Kwani inasababishwa na nini
Sifaham mkuu, ila nilikuwa na tatizo kama hilo ulimi kufa ganzi na michubuko isiyoisha kwenye ulimi mbaya zaidi hadi fizi zilikuwa zimeachia meno kabisa, hata kupiga mswaki ilikuwa shughuli pevu, nilipoenda kwa dkt akaniandikia hivyo vidonge, niwe natumia mara kwa mara, tatizo liliisha kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom