TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,267
- 25,557
Nltumiwa na mwanangu computer bahati mbaya hakuniambia kuwa inatakiwa kuweka (mla/mzuia wadudu) antivirus, baaaye kukawa na tatizo ambalo limeifanya kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Baadaye niliambiwa imepata hao jamaa na inabidi uweke hiyo antivirus, ila nimeambiwa lazima niondoe window iliyopo.
Wadau hebu mnipe ushauri au nifanyeje nisiweze kukosa files zangu na mambo muhimu yaliyomo humo.
Asante nawasilisha.