Msaada: Nitapataje kozi ya TEOFL kwa haraka Arusha?

Msaada: Nitapataje kozi ya TEOFL kwa haraka Arusha?

bobtony

Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
44
Reaction score
37
Wadau habari zenu!

Wakuu naombeni msaada wa mawazo, nimefanya maombi ya udahili nje ya nchi(Netherlands) shahada ya Uzamili (Masters ).

Nimetuma viambatanisho vyote muhimu, naambiwa bado kiambatanisho cha TEOFL, yaani ushahidi wa kuwa ninafahamu kiingereza, sasa nimejitahidi kuwaeleza kuwa nimesoma kwa kutumia kiingereza katika elimu yangu.

Msaada wenu wakubwa, sababu nimeangalia ratiba ya TOEFL test kwa huku Arusha ni tarehe 11/02/2017.
 
TOEFL mkuu bila maandalizi kupata 100 iBT sawa na 7 overall score band ya IELTS hutoboi, saiv anza maandalizi sasa hivi
 
Mkuu Tombstone msaada wa ufafanuzi kidogo, kama unazifahamu hizi test vizuri ili nianze msuli, sababu nimejitahidi kuwaeleza kuwa nimesoma kwa kiingereza katika elimu yangu. Na nimetuma cheti cha form four chenye matokeo ya kiingereza, na nilifaulu vyema.
 
Europe wao hata kama ulisoma degree kwa kingereza wao watataka tu toefl au ielts, ila marekani na kanada wao watataka uthibitisho kuwa ulisoma kwa kingereza, ww cha kufanya anza msuli wa toefl msuli mkali zaidi ya ulowahi kupiga
 
HIVI HAWA JAMAA WA TOEFL WANA NAMBA ZA SIMU ? KUNA MAMBO YANANISUMBUA NA REGISTRATION YAO...
 
Back
Top Bottom